Kuna tofauti gani kwenye uwezo wa kufikiri kati ya mwanamme na mwanamke

Kuna tofauti gani kwenye uwezo wa kufikiri kati ya mwanamme na mwanamke

Sina hakika na maelezo yako Bulldog lakini hata kama ni kweli je hiyo inamaanisha kuwa sasa wanawake wanapenda hesabu na fizikia kama wanaume? Je kwasasa wanawake wanaipenda na kuimudu fani ya uhandisi kama wanaume ?

Jana wakati niko pale Mlimani City kwenye Kongamano la Wahandisi nilikutana na Mwalimu wangu ambae ni Dr. lakini ni mhandisi. Sasa katika mazungumzo ya kawaida tu ya hapa na pale jirani yangu alimdadisi En Dr. kuhusu masters ambazo yeye anaweza kuchukua, Dr alimtajia kozi tofauti zinazomfaa. Katika majadiliano vp darasa linaweza kuwa na watu wangapi akasema labda watu 20 ambapo akasema angalau kwa level ya Bachelor wanawake unaweza kupata wawili watatu lakini Masters darasa zima mwanamama mmoja tu. Akasema hiyo 50/50 kwa kweli ni ndoto to be franky.

Hivyo hoja yako kiukweli siyo realistic kwenye game lenyewe labda kisiasa na kubebwa bebwa!

Tujiulize jeshini kwa mfano je 50/50 imefikiwa, kwamba Lt Gen, Maj Gen, Brig Gen achilia mbali General iko 50/50? Mama na dada zetu ifike wakati tu wakubali kuwa kimaumbile na kimsingi kwa kila namna hawataweza kuwa 50/50 na wanaume hadi dunia itakapoisha viumbe hai kuishi.

Sorry kwa lugha hii lakini ndo ukweli:; Siku itakapowezekana kwa Wamama kufanya Urination wakiwa wamesimama basi hapo ndipo 50/50 itawezekana, lakini hilo likiwashinda basi watajitutumua lakini ni ngumu sana
 
Last edited by a moderator:
mkuu napingana na ww.. wanawake wana kiwango kikubwa cha akili kuliko wanaume.. hii ni biologically na sio siasa.

Duh! mkuu Matege unaweza ukatupia ka ushahidi japo kuendorse unachowakilisha? Sibishi ila nataka kujiridhisha ili nikimstua mamsap kuhusu hii niwe na uhakika.
 
Duh! mkuu Matege unaweza ukatupia ka ushahidi japo kuendorse unachowakilisha? Sibishi ila nataka kujiridhisha ili nikimstua mamsap kuhusu hii niwe na uhakika.

nikipata link nitaiweka hapa mkuu
 
Back
Top Bottom