twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
watu wengi ukiwauliza nini maana ya mpz atakujibu ni rafiki wa karibu wa kike/wa kiume,na ukiwauliza tena nini maana ya rafiki atakwambia ni rafiki2 na ni urafiki wa jinsia tofauti,je inawezekana kuwa na rafiki wa jinsia tofauti?nisaidieni kujibu,au mimi ninaelewa tofauti?