kuna tofauti gani ya mpz na urafiki wa karibu?

kuna tofauti gani ya mpz na urafiki wa karibu?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
watu wengi ukiwauliza nini maana ya mpz atakujibu ni rafiki wa karibu wa kike/wa kiume,na ukiwauliza tena nini maana ya rafiki atakwambia ni rafiki2 na ni urafiki wa jinsia tofauti,je inawezekana kuwa na rafiki wa jinsia tofauti?nisaidieni kujibu,au mimi ninaelewa tofauti?
 
And I think it is possible to have a friend of different gender with or without benefit (TB sio kila mara bana)
 
Utata unatokea kuwa watu ahwajui mipaka ya urafiki na upenzi...
 
Sory i don't belive in friendship,urafiki ni utumwa na upande mwingine ni ubaguzi,nawakubali watu wote bila kuwawekea vibandiko visivyo na maana wala mashiko!
 
And I think it is possible to have a friend of different gender with or without benefit (TB sio kila mara bana)

Mimi nafikiri hata thee nature ya huyo mtu unasema ni friend has to be considered before hujasema ni rafiki....
 
Back
Top Bottom