watu wengi ukiwauliza nini maana ya mpz atakujibu ni rafiki wa karibu wa kike/wa kiume,na ukiwauliza tena nini maana ya rafiki atakwambia ni rafiki2 na ni urafiki wa jinsia tofauti,je inawezekana kuwa na rafiki wa jinsia tofauti?nisaidieni kujibu,au mimi ninaelewa tofauti?
Sory i don't belive in friendship,urafiki ni utumwa na upande mwingine ni ubaguzi,nawakubali watu wote bila kuwawekea vibandiko visivyo na maana wala mashiko!