Kuna tofauti kati ya network ya kupiga simu na network ya internet?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje.

Naomba ufafanuzi kwenye hili.

Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
 
Kwa mim ninavyojua, simu ukiwa umeiset katka 4G only, ikipgiwa haipatikan, ila kwa 3G mawasiliano yanakuwepo kama kawaida!
 
Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje.

Naomba ufafanuzi kwenye hili.

Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
Mkuu ina maana simu yako haina 3g/4G auto.

1. Simu ya kawaida Inatumia 2g kwa ajili ya kupiga
2. 3g sauti yake inaitwa HD voice lakini ili uipate kwa Tanzania inabidi muwe munatumia mtandao mmoja na wote muwe na simu za kisasa
3. 4g sauti yake inaitwa Volte na mitandao yetu mainstream hawana nafkiri smile walikua nayo.

Hivyo my guess simu yake inakaa 4g only ama 3g only mtu akikupigia inashindwa ku change kwenda 2g kupokea simu.

Possible solution
Bonyeza ##4636## Kisha ingia phone information Kuna box la network type utaona kuna option nyingi sana, Jaribu kuweka option ya

LTE/UMTS (auto PRL) kama picha inavyoonesha.
PicsArt_07-06-06.59.12.jpg
 
View attachment 1843595

View attachment 1843591
Mkuu,kwenye page ya pili katika comment yako umesahau kufuta IMEI..
 
mkuu, iset simu yako katika 2G, 3G and 4G auto detect! Vingnevyo utaendelea kutokupatikana kama simu yako unailazimisha kukaa kwenye 4G only!
 
Mkuu ina maana simu yako haina 3g/4G auto.

1. Simu ya kawaida Inatumia 2g kwa ajili ya kupiga
2. 3g sauti yake inaitwa HD voice lakini ili uipate kwa Tanzania inabidi muwe munatumia mtandao mmoja na wote muwe na simu za kisasa
3. 4g sauti yake inaitwa Volte na mitandao yetu mainstream hawana nafkiri smile walikua nayo.

Hivyo my guess simu yake inakaa 4g only ama 3g only mtu akikupigia inashindwa ku change kwenda 2g kupokea simu.

Possible solution
Bonyeza ##4636## Kisha ingia phone information Kuna box la network type utaona kuna option nyingi sana, Jaribu kuweka option ya

LTE/UMTS (auto PRL) kama picha inavyoonesha.
View attachment 1843595
Mkuu ahsante kwa ufafanuzi. Nimejaribu imekataa. Inaandika connection problem or invalid MMI code.
 
mkuu, iset simu yako katika 2G, 3G and 4G auto detect! Vingnevyo utaendelea kutokupatikana kama simu yako unailazimisha kukaa kwenye 4G only!
Naset vp mkuu. Ufafanuzi wa chief pale juu umeshindikana.
 
Mkuu ahsante kwa ufafanuzi. Nimejaribu imekataa. Inaandika connection problem or invalid MMI code.
Ina maana wameiblock hio code.

Ume Jaribu kwenda kawaida setting Kisha setting za network/connection Kisha kwenye mobile network ama cellular then network mode hakuna option ya lte/wcdma/GSM auto?
 
Hiyo opt haipo
 
Hiyo opt haipo
Ngoja wenye simu za mediatek waje watusaidie ila somewhere kwenye engineering mode pengine hio menu ipo.

Ama kama upo comfortable cheki playstore engineering mode uangalie menu zake kama utaweza ku access menu sawa na ile niliopost screenshot ya ##4636##
 
Back
Top Bottom