Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
You cant understand your stupidity.Tofauti na wewe, sikuzaliwa kwenye mikesha ya mwenge. Sasa amua...bwege mwenye akili za kushikiwa ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You cant understand your stupidity.Tofauti na wewe, sikuzaliwa kwenye mikesha ya mwenge. Sasa amua...bwege mwenye akili za kushikiwa ni nani?
Kama kama dude likizama lazima muumieHizi shift za product ya mikesha ya mwenge kwa kweli zinatuharibia jamvi...akitoka Jumbe Brown, anaingia zandrano, akitoka zandrano anaingia Idugunde, akitoka Idugunde anaingia Kamanda Asiyechoka and the list goes on...
Kwa kweli kodi zetu zinatumika hovyo kweli kweli kwa kuyafuga haya matakataka...yaani mwenge umeharibu nchi!
Kwani ni kosa kisheria kuhudhuria mahakamani?yeyote atakaye thubutu kutoa pua yake eti kwenda mahakamani atachakazwa.
tena tunaomba Jeshi letu lisisubirie wafike au wakaribie maeneo ya mahakama wanapaswa wachakazwe kabla hata hawajatoka majumbani kwao.
Mtaka cha uvunguni sharti ainame,matatizo unayowatakia wenzio yatakukuta kabla yao na watu watakunywa uji laini na tumaini lako litapotea.mara nyigi nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi na wafuasi wa Chadema mara zote ni Wakorofi na huioa lugha za kuitisha mamlaka?
Kumbe Jibu lake ndio hili, kweli waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka.
Kumbe kiongozi wa Chama alikuwa ananunua na kupanga vitendo vya kigaidi....ndio maaana wafuasi wa chadema ni wakorofi hatari.
Ushauri wangu, viongozi wa Chadema na wafuasi wote badilikeni, acheni vitendo vya uvunjifu wa amani, na kwa sasa IGP katangaza operesheni kubwa ya kuwasaka wale wote wenye lengo la kuvunja sheria.
Ushauri kwa Jeshi la polisi;
kuna haja ya kufuatilia nyendo za viongozi na wafuasi wa Chaema kila kona ya nchi.

Huhitaji kuwa na angalau elimu ya form 4 kujua kwa hakika kuwa kesi hii ni ya kubambikizaAsante kwa bandiko elimishi, mimi maoni yangu ni kutoa tuu ushauri. Kwa vile IGP Kamanda Sirro emesema Jeshi la Polisi lina ushahidi, nadhani ni busara tungesubiria kuusikia huo ushahidi.
Nashauri tujenge utamaduni wa kuheshimu maoni ya wengine hata kama hatukubaliani nayo.
P.
Kaka yangu Pascal si kwamba jeshi letu linaushahidi juu ya tuhuma za kipumbavu za ugaidi wa mbowe,ushahidi wa igp Ni picha ya gari lililosadikika kumteka MO,utekaji huo tulishaumaliza na kuhitimusha kuwa MO alitekwa na serikali. IGP ameingilia Uhuru was mahakama kwani yeye ndiyo aliyemkamata mbowe na kumbambikiza kesi za ugaidi,ninaimani kesi hiyo mbowe atakaa ndani kwa miaka mingi bila kuthibitshwa ugaidi wake,huyu sirro muda mfupi ujao atastaafu utumishi wa umma uelewe kuwa cheo Ni dhamana Kuna maisha mengine baada ya kuwa IGP.Mbowe hana hatia Ila katengenezewa kesi ya kubumba.kinachonipa moyo mama huko Rwanda nahisi atakuwa ameoneshwa jumba la makumbusho yalipohifadhiwa mafuvu ya wahanga wa vita vya 1994,Kama atakuwa hajajifunza kitu badi ataruhusu kesi ya kipumbavu ya ugaidi wa mbowe iyendelee mahakamani,Ila Kama amejifunza Basi kesi hiyo itafutwa.Asante kwa bandiko elimishi, mimi maoni yangu ni kutoa tuu ushauri. Kwa vile IGP Kamanda Sirro emesema Jeshi la Polisi lina ushahidi, nadhani ni busara tungesubiria kuusikia huo ushahidi.
Nashauri tujenge utamaduni wa kuheshimu maoni ya wengine hata kama hatukubaliani nayo.
P.