Kuna tofauti kati ya wafuasi na wanachama

yeyote atakaye thubutu kutoa pua yake eti kwenda mahakamani atachakazwa.
tena tunaomba Jeshi letu lisisubirie wafike au wakaribie maeneo ya mahakama wanapaswa wachakazwe kabla hata hawajatoka majumbani kwao.
Kwani ni kosa kisheria kuhudhuria mahakamani?
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame,matatizo unayowatakia wenzio yatakukuta kabla yao na watu watakunywa uji laini na tumaini lako litapotea.
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame,matatizo unayowatakia wenzio yatakukuta kabla yao na watu watakunywa uji laini na tumaini lako litapotea.
 
Huhitaji kuwa na angalau elimu ya form 4 kujua kwa hakika kuwa kesi hii ni ya kubambikiza
 
Kaka yangu Pascal si kwamba jeshi letu linaushahidi juu ya tuhuma za kipumbavu za ugaidi wa mbowe,ushahidi wa igp Ni picha ya gari lililosadikika kumteka MO,utekaji huo tulishaumaliza na kuhitimusha kuwa MO alitekwa na serikali. IGP ameingilia Uhuru was mahakama kwani yeye ndiyo aliyemkamata mbowe na kumbambikiza kesi za ugaidi,ninaimani kesi hiyo mbowe atakaa ndani kwa miaka mingi bila kuthibitshwa ugaidi wake,huyu sirro muda mfupi ujao atastaafu utumishi wa umma uelewe kuwa cheo Ni dhamana Kuna maisha mengine baada ya kuwa IGP.Mbowe hana hatia Ila katengenezewa kesi ya kubumba.kinachonipa moyo mama huko Rwanda nahisi atakuwa ameoneshwa jumba la makumbusho yalipohifadhiwa mafuvu ya wahanga wa vita vya 1994,Kama atakuwa hajajifunza kitu badi ataruhusu kesi ya kipumbavu ya ugaidi wa mbowe iyendelee mahakamani,Ila Kama amejifunza Basi kesi hiyo itafutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…