Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Na wewe dada mchepuko wako nani?Muulize Joyce Mkuya mchepuko wa Mbowe
Hivi Prof. Mwandosya,Dr. Bilal hawakusoma Science?We mtendee vizuri mkeo akupe kiboga
Kumbuka watu waliosoma masomo ya sayansi tafsda kwao zero.
Alafu acha unafki kazi ya wanawake
Nashauri Washauri wake waifanyie kazi hii kasoro
Nafuu hasafiri Nchi za Ulaya, Anaweza kuuza Nchi.akiona mwanamke mweupe ndio anachanganyikiwa kabisa..hahaha
Japo sijasikia hayo ila naunga mkono hoja kwasababu yapo nami niliyoyasikia na nilishauriNimekuwa nikimsikiliza ndugu yetu kwa Miaka yake minne ambayo amekuwa akiliongoza taifa..
Katika hotuba zake zote hulazimisha kuchomekea Utani Lakini utani huo Mara zote unakuwa centred kwenye Mapenzi, Ngono na Kujamiiana...KWA NINI ANAKUWA VILE?
Maneno mengine ni machafu sana na huyatamka mbele ya Mkewe, Mawaziri wa Kike na hata watoto wa shule ambao katu Katika mikutano yake hawakosekani...Mfano alipokuwa Kahama aliposema usipomtendea vema Mkeo hatakupa KIBOGA...hii Lugha ni chafu na haifai, Why akili yake Inakuwa hivi, kuna Tatizo la KISAIKOLOJIA kwenye Kichwa chake?
Nashauri Washauri wake waifanyie kazi hii kasoro, IT IS TOO MUCH NOW AND IT IS DISGUSTING
madaktari wstusaidie labda nn uchangia,, kwakweliNimekuwa nikimsikiliza ndugu yetu kwa Miaka yake minne ambayo amekuwa akiliongoza taifa..
Katika hotuba zake zote hulazimisha kuchomekea Utani Lakini utani huo Mara zote unakuwa centred kwenye Mapenzi, Ngono na Kujamiiana...KWA NINI ANAKUWA VILE?
Maneno mengine ni machafu sana na huyatamka mbele ya Mkewe, Mawaziri wa Kike na hata watoto wa shule ambao katu Katika mikutano yake hawakosekani...Mfano alipokuwa Kahama aliposema usipomtendea vema Mkeo hatakupa KIBOGA...hii Lugha ni chafu na haifai, Why akili yake Inakuwa hivi, kuna Tatizo la KISAIKOLOJIA kwenye Kichwa chake?
Nashauri Washauri wake waifanyie kazi hii kasoro, IT IS TOO MUCH NOW AND IT IS DISGUSTING
hahahahaha BAWACHA BHANA YANI WEWE UNAFIKIRI KIBOGA INA MAANA KAMA YAKO UNAYO ISEMA? KIBOGA INA MAANA NYINGI SANA WENGINE HUKO KANDA YA ZIWA NI TUNDA TAMU.....Nimekuwa nikimsikiliza ndugu yetu kwa Miaka yake minne ambayo amekuwa akiliongoza taifa..