Kuna tofauti kubwa kati ya utani na udhalilishaji

Unajua maana ya kuliwa kiboga wewe?
We mtendee vizuri mkeo akupe kiboga
Kumbuka watu waliosoma masomo ya sayansi tafsda kwao zero.

Alafu acha unafki kazi ya wanawake
 

In kupendwa > ni kupendwa
Jee > Je
Ajabuajabu > ajabu ajabu
Ufatiliwe > ufuatiliwe

Unapokosoa wenzako hakikisha kwanza wewe unao huo unaouita ‘upeo’ sio unabwabwaja tu, kukosea ni sehemu ya maisha yetu ila tukosoane kwa heshima lengo ikiwa ni kuelekezana..... nawe nakushauri ukajiendeleze kielimu.


Usile Mbegu.
 
It's all within your mind.. feel not harmed and you haven't been harmed!
 
Hivi Kitwanga anaakili gani kumuacha mkewe na kwenda kupiga soga na wanawake wengine, sisi waafrika mapenzi ni pale unapokuwa na ashiki tu.

USSR
Kuna jambo la muhimu walikua wanasemezana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu si ajabu alikuwa anaona wivu kuona mwenzie yuko na mwanamke mweupe
 
hahahahaha BAWACHA BHANA YANI WEWE UNAFIKIRI KIBOGA INA MAANA KAMA YAKO UNAYO ISEMA? KIBOGA INA MAANA NYINGI SANA WENGINE HUKO KANDA YA ZIWA NI TUNDA TAMU.....
BAWACHA ACHA KUJIPA PRESSURE
Mkiwa Wajinga msifikiri watu wote ni wajinga...so kwa kuwa Kanda ya Ziwa matusi na Ngono kwenu ni fahari basi iwe hivyo kwa TAIFA zima?

And what do you mean by the way...Japan wakituletea Balozi anayeitwa K**amoto hapa atapewa accreditation? ACHA UJINGA BASI
 


Ambacho hakijui huyu baba ni kwamba si kila mtu ana sense of humour. Baba wa Taifa Hayati Nyerere, Mzee Kikwete na Mzee Mwinyi walikuwa na sense of humour kiasili na nature huwa hailazimishwi. Mkapa hakuwa na sense of homour na alikuwa analitambua hilo vizuri so hakutaka kuforce kuwa nayo. Ukiwa huna sense of humour ukaforce utaishia kutukana na ndicho kinachoendelea kwa huyo baba. Akitaka utani kwenye hutuba basi uandaliwe mapema kwani yeye haya uwezo wa kutengeneza utani wa kwake papo kwa papo vinginevyo ataishia kutukana tu kila siku kitu ambacho si kizuri.
 
Mimi nilisikitishwa sana na maneno " wanawake weupe hoyee"

Miss Universe 2019 ni Black Beauty anayeitwa Zozibini Tunzi ambaye ni Miss South Africa 2019. Ni mweusi na ni mzuri. Najiuliza wanawake weusi wanajisikiaje wanaposikia " wanawake weupe hoyee" Nadhani kuna haja waandika-hotuba wa mzee wamwandikie hotuba ambayo ataifuata ili baadhi ya watu wasimwelewe vibaya.
 
Spell mistake na typing error ni vitu viwili tofauti. Walijua hilo?
 
Mzee Mzindakaya Je pale Sumbawanga?
 
Spell mistake na typing error ni vitu viwili tofauti. Walijua hilo?

Endelea kushupaza shingo, bila shukrani ilibidi ulipie elimu hii.... basi tuseme unajua kuandika na hivyo umeandika sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…