Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
Bora idris kuliko huyo mc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
Idris km angekuwa mcheza soka ni wale wa kingereza viwango vyao ni kupanda na kushuka, kuna sehemu huwa anachekesha, ila kuna sehemu ambayo ndio kubwa zaidi huwa anakulazimisha ucheke, yaani naangalia mwanzo mpaka mwisho najikuta sijacheka.Idris kwangu ni the best comedian.
Hivi mchekeshaji kwenu nilazima avae makaptula makubwa na kujipaka masizi usoni.?
naungana na ww bro,tena yule ramsoleen angerudi kujiunga nao ndo ingezidi kuwa bomba zaidi...sema jamaa wamekosa ile exposure inayotakiwa bt they are good n smart.hakuna wachekeshaji kama seriousfan hawa jamaa wanajielewa jaman
jamaa wa mizengwe yule Mkwele original aka mrithi wa max....yuko poa sana yule bt hata mizengwe kwa ujumla wanaweza aise...Bongo wanaonichekesha ni
1. Majuto
2. Joti
3. Braza K
4. Jamaa yule wa mizengwe huwa yuko serious
hawa cjawalewa bdo wako too artificial...only mark angel comedy are the best in nigeria. they know wat they r doing n so creative kwa kweli.Xploit Comedy wako vizuri pia wanaijeria hawa
dah,hapa ndo kweli nnapojua watu tuna taste tofauti tofauti ..huyu dada cjawahi kucheka au walau hata kutabasamu ktk kichekesho chake chochote kile...namuona ni miongoni mwa wanaolazimisha fani...kwanza hata personality ya uchekeshaji haipo.mi namkubali Katarina Karatu
Huyu hakuna kitu,sio msanii,sio comedian,hana kipaji chochote,angetafuta kazi tu ya kufanya,au angefungua saloon,duka LA nguo auze kwa pesa aliyopata big brother,Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi anadhani anatuchekesha kumbe tunamuona ni punguani tu asiye jielewa.
Mbali na yeye wengine wanaomfuatia kwa kufanya ujinga huku wakidhani wanatuchekesha ni Mkali wao na Dullvani wote hawa ni wafanya ujinga na mambo ya kipuuzi puuzi yasiyoeleweka.
Kwa ambao mpo karibu na Idris Sultan mwambieni tumechoka kuona mambo yake ya kipuuzi abadilike anatuboa.
Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
Omond super EA comedian ana mkubali sana Pilipili....wewe sijui ni nani?Bora Idriss Mara 100, Mc pilipili ni mtupu mtupu[emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki binafsi....mwenzako yake yanasonga we endelea kutengeneza vidonda vya tumbo kwa chuki hahahahaSimpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
Mizengwe ndio vichekesho vya kweli ila wengine wote wanafanya ujinga ndio mtu achekeBongo wanaonichekesha ni
1. Majuto
2. Joti
3. Braza K
4. Jamaa yule wa mizengwe huwa yuko serious
Tatizo staili yake ni moja tu ya kupandanisha maneno soon atapoteza ladha,abadilike badilike na kuchagua content nzuri....Kwenye uchekeshaji kuna mwanaDada anajiita Black Pass. Anacheza kama Kiziwi. Nina mkubaki sana amekuja na Big idea ya kwake kipekee na yuko vizuri sana kwenye uchekeshaji huwa achoshii kutazama vichekesho vyek maana yuko smart