chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ili swala sio utani ila waafrika wengi tunapenda umaskini wa kufikia malengo.
Tumeona kuanzia serikali yetu ambavyo kuna mambo ambayo kama bima za afya,sekta za uwekezaji ndani na nje swala la kodi na misimamo ya siasa ambayo chama kikubwa utumia nafasi kama mtaji mkubwa sio kusingizia kuwa kulikuwa na chama pinzani.
Leo tunaona watu walishindwa kufikisha hata malengo wanataka wabebwe ndani ya chama tawala mfano wasira ambacho hana zaidi ya kusubiri Mtoa roho yupo Goma sijui kwa nini kaogopa Tanzania ,ni utani tu.
Hivi kwa nini tunapenda umaskini wa kufikia malengo. Sio huu ambao yani ukienda nchi za watu unasema Dream country ambayo utumiki kisiasa au we mwenyewe ila kuna vitu ambavyo vinaweza kukupa uhuru ambayo nchi za afrika mpaka utumike chama tawala.