Kuna tofauti yoyote kati ya Over The Counter Market(OTC) na server za MT4 za FX brokers?

Kuna tofauti yoyote kati ya Over The Counter Market(OTC) na server za MT4 za FX brokers?

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Habari za usiku ndugu zangu,

Nimekuwa nikichanganya vitu hivi viwili. mfano tanzania inataka kununua ndege marekani inatakiwa ibadili Tsh kwenda usd ili iweze kufanakisha internation trade si lazima ibadili tshs kupitia OTC network au Interbank market au kuna njia nyingine hutumia?

Ningependa kufahamu nini lengo kuu la kuanzishwa huu mtandao?

Je, server za fx brokers zilianzishwa kwa lengo la speculation tu?

Je, banks wakitaka kufanya currency speculations wanatumia interbanknetwork au server za fx brokers?

Ahsanteni.
 
Sikujui ila ninauhakika huna chochote unachojivunia tangu umeingia forex, badili gia fasta kabla hujapotea mazima.

UTANIKUMBUKA.
 
Sikujui ila ninauhakika huna chochote unachojivunia tangu umeingia forex,badili gia fasta kabla hujapotea mazima.
UTANIKUMBUKA.
matokeo yangu kwenye fx siyo mabaya sana hela za kodi hazinipigi chenga, maarifa ya mhimu nimeshayapata mapema sanaa, ila nataka niongeze tu maarifa zaidi coz elemu haina mwisho. ila ni ngumu sanaa kuimaster ila ukiimaster umemaliza kazi.
 
Sikujui ila ninauhakika huna chochote unachojivunia tangu umeingia forex, badili gia fasta kabla hujapotea mazima.
UTANIKUMBUKA.
Matatizo ya kuvuta bangi haya unashauri kitu ambacho hujawahi kufanya huna uzoefu nacho.
 
matokeo yangu kwenye fx siyo mabaya sana hela za kodi hazinipigi chenga, maarifa ya mhimu nimeshayapata mapema sanaa, ila nataka niongeze tu maarifa zaidi coz elemu haina mwisho. ila ni ngumu sanaa kuimaster ila ukiimaster umemaliza kazi.
Kila la kheri,tulikua huko tumesoma na kuimaster zaidi ya ujuavyo
 
Over the counter(OTC) ni financial instruments ambazo ni negotiable and kuna kuwa na right and obligation ya kununua na kuuza mfano forex, interest derivatives na kama sijakosea pamoja na swaps and forwards
 
Back
Top Bottom