Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

Nimetoa taarifa kama raia mwema, muda ni usiku kuanzia saa saba nyie wekeni doria, target ni raia mmoja wa kigeni
Kwa polisi ya CCM mkuu walivyo wapumbavu wanaweza kukuunganisha kwenye tukio. Omba sana huyo mtu asivamiwe na kuuawa! Ulichokosea mkuu ni kuwaambia kuna tukio la mtu kuvamiwa. Ungewaambia CHADEMA wamepanga kuandamana usiku huu huko Upanga.
 
Kuna machinga anarudi zake home,akaona tukio ndani ya bajaji njemba nne zinalazimisha kumbaka mwanamke.

Akaenda polisi kuripoti akawapeleka mpaka eneo la tukio.Kufika pale zile njemba zishatokomea,binti kalala akiwa uchi ajitambui.

Polisi wakampiga pingu yule machinga palepale mbele ya kadamnasi.

Hili tukio nilifatilia nikasikia kesho yake mwenyekiti wa mtaa alienda kumtetea huyo machinga akaachiwa.
 
Nimetoa taarifa kama raia mwema, muda ni usiku kuanzia saa saba nyie wekeni doria, target ni raia mmoja wa kigeni
Tunashukuru kama ni raia mwema kweli mkuu... ubarikiwe
Maana Kuna wengine mgao usipoeleweka wanasanua mchongo...

Polisi wetu,achane kazi ya kuteka sasa mmepata mchongo mpya huku..
 
Tafuta namba za police piga cm police ni bure kabisa mwokoe huyo mtu
Umejaribu kuwaza kwamba na yeye anaweza kuwa ni jambazi ila roho wa Mungu hajamuacha, au mtu wa karibu na jambazi , ameguswa na akaona sehemu rahisi ya kutokuacha alama za utambulisho wake kwa majambazi ni hapa, lakini pia ukute anajua pia police wengine ni majambazi ,hivo watamchoma akienda huko, ,,huyu ni malaika,kama siyo yeye ,basi aliye ndani yake
 
Huoni ujinga,mtakuja kujiingiza matatizoni,upanga ni kubwa pokusi watajigawaje,na akiwekwandani kuisaidia pokisi atamlaumu nani.
Mind your business
Mimi mwenyewe sijui ni Upanga ipi ila ni Upanga, na kuhusu kuisaidia polisi tayari nishawasaidia kwa kuwapa tahadhari
 
Back
Top Bottom