Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

Shida ni kuwa hao wezi akijua wewe ndio uliwasemea hauan bahati.
 
Shida sasa huyo muhanga mwwnyewe simjui ila kama ningemjua au mahala anapokaa ningepajua ningeenda kumshtua
Ni bahati kwako haukujipeleka kituoni,, naamini kabisa kwa utoaji wako huu wa maelezo,,, ungeangukiwa na jumba bovu mwenyewe 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…