π π πHakuna tatizo, kama unapata mashaka na tabia za wanao wajengee banda masela nje wawe wanazamisha pisi za mtaani kwa uhuru.
Nakumbuka kipindi kile tulikuwa tunamshauri sana mzee ajenge banda nje tukiwa na malengo nalo binafsi.
Ni kweli hakuna shida,shida ni tabia za watoto wake,au tabia mbaya alizokulia yeye Baba mtu ndio zinamfanya awe na mashaka na watoto wake...Hakuna tatizo, kama unapata mashaka na tabia za wanao wajengee banda masela nje wawe wanazamisha pisi za mtaani kwa uhuru.
Nakumbuka kipindi kile tulikuwa tunamshauri sana mzee ajenge banda nje tukiwa na malengo nalo binafsi.
Huyu mwenzetu ina maana hawafahamu watoto wake.Hamna shida yoyote. Kama una uwezo weka choo ndani kwenye kila chumba cha watoto.
Huyu jamaa kwa kutumia lugha ya kiungwana ni kwamba hawafahamu watoto wake.Ni kweli hakuna shida,shida ni tabia za watoto wake,au tabia mbaya alizokulia yeye Baba mtu ndio zinamfanya awe na mashaka na watoto wake...
Hivi kweli Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtamani Dada yako?Unaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.
Labda balehe yako ilikua ya baridi, au hujui nini maana ya hisia kamili ya kiume, ndiyo maana unaropoka tu.Hivi kweli Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtamani Dada yako?
Nafikiri ni kwa wale tu waliolaaniwa na MUNGU, ndio wanaweza kuwatamani dada zao au kaka zao kimapenzi.
Kijana yeyote mwenye hofu ya MUNGU, kamwe hawezi kusimamisha uume wake kwa Dada yake au kuloanisha chupi yake mbele ya kaka yake.
GOD, forbid it!
Nimeandika, na narudia tena kuandika, mtu yeyote mwenye kumtamani kimapenzi dada yake au kaka yake, mtu huyo amelaaniwa.Labda balehe yako ilikua ya baridi, au hujui nini maana ya hisia kamili ya kiume, ndiyo maana unaropoka tu.
Huyo ndugu yako inategemea yukoje , kama mkipiga pastport ww na dada yako mtu hawez tofautisha huwez mtaman
Usomi mwingi mbele kiza, pamoja na usomi wako ila vitu vya kawaida vya kijamii huvijui, umekariri vya makaratasi na maandiko.Nimeandika, na narudia tena kuandika, mtu yeyote mwenye kumtamani kimapenzi dada yake au kaka yake, mtu huyo amelaaniwa.
Tena inaonekana wewe hukupata malezi bora toka kwa wazazi wako. Yaani kwanza tu hata kumtamani Dada yako ni tendo la aibu kubwa mno.
Usisingizie "balehe" , wewe hulelewa vizuri. There is no excuse to such kind of sexual immorality!
Ukiona hivyo ujue bimkubwa ni kisu , sio kama huyo wako mpaka mtu atambulishwe , hawez jua kama n jinsia Ke au MeLkn vile vile inategemea umezaliwa na wazazi gani km mama ako na baba ako ni mtu na dada ake basi unaweza kuwatamani dada zako tumbo mojA na ukaona ni kitu cha kawaida maana umetoka kwenye uzao wa laana na wala sio balehe kama unavyodhani..
Hakunaga ramani ya hivyo master kuwa kati katiHakuna shida...
Inapendeza zaidi, kama kutokea mlango mkuu kianze chumba cha watoto wa kiume, kifuate cha wazai katikati alafu kimalizike na cha watoto wa kike...
Usomi mwingi mbele kiza, pamoja na usomi wako ila vitu vya kawaida vya kijamii huvijui, umekariri vya makaratasi na maandiko.
Haya mambo yapo, yasingekuwepo mtoa post asingekua na wasiwasi wa watoto wa kiume na wa kike kuwajengea karibu.
Mkuu we acha tu,dada wengine ni vyuma mpk unajuta kuwa ni damu mojaAcha uchawii ..amna ambae aja balehe kusema haijui .una anzaje kutamani dada ako
Adi mimi nme shtuka
AiseeeSasa kama imefikia wazazi wanahofia ndugu wa damu kupandana kama wanyama...dunia imekwisha.
Labda we mleta mada nae kwa nini umeuliza au nae ulikuwa unawapanda dada zako? Hii dunia hii
Duh sista kakuletea mboga dah mm mama yngu mkali nilikoma saa 12 anataka niwe ndan afu house girl kampiga bit kuwa asithubutu ku do na mm kwa bahat nzur nilimpanga house girl akanielewa nikaponea hapo ila baadae mama alimtimua alipogundua kuwa mitambo ishasetiwaUnaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.