Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

Hakuna tatizo, kama unapata mashaka na tabia za wanao wajengee banda masela nje wawe wanazamisha pisi za mtaani kwa uhuru.
Nakumbuka kipindi kile tulikuwa tunamshauri sana mzee ajenge banda nje tukiwa na malengo nalo binafsi.
Sasa kama pisi za kwako unafungia ndani masela wa jirani watazipataje za humo kwako ili nao wazamishe huko banda la nje?
Wanaume wabinafsi sana.
 
Hamna shida yoyote. Kama una uwezo weka choo ndani kwenye kila chumba cha watoto.
Hata akiweka kwenye chumba cha mabinti pekee sio mbaya, mana kama yupo house girl, hawa ndio wanatokaga kizembe kwenye corridor kwenda kujisaidia usiku. Sasa huyu akikutana na jamaa mwenye barehe ya mbuzi usiku hapo kwenye corridor! Na ukizingatia mchana walikuwa wanachekeana sana. Nafikilia tu.
 
Ni sahihi kuviweka mbali mbali kidogo.
Sasa hii itasaidia nn kwamba kama una kijana wako na kule kwa wanawake analsla house girl, umbali wa hapo ni minyato tu. Hakuna gate
 
Kama unawapa malezi mazuri waache tu wawe huru (sio gate kali). Ukiwachunga sana watatembeleana. Acha tu vyumba vipakane, dada watakuwa na marafiki wa nje na kaka watakuwa na marafiki wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…