Kuna ubaya gani Simba ikicheza Shirikisho?

Kuna ubaya gani Simba ikicheza Shirikisho?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.

Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna kitakachobadilika, Yanga wataendelea kuwa mabingwa hadi pale kwenye TFF na bodi kubadilike, Simba kubadilike pia, hakuna watu kabisa ndani ya uongozi.

Azam walipopata bao la 2 baadhi ya viongozi walionekana katika tv wakiwa wanacheka, wanafurahia ushindi wa azam.

Tumeyatimba
 
Kwasababu ni kombe la wachovu,waliodundwa sana kwenye ligi zao,walioteseka mno.

Kifupi ni kombe la aibu
 
Ubuntu boso[emoji23]
JamiiForums-2089727512.jpg
 
Kamuulize Mangungu acha kutuchosha na nyuzi zako za kipunga kama saiti ya Ahmed Ally.
 
Uliahidi kutununulia vocha yanga akishinda shirikisho jaya tuahidi na simba
 
Ubaya ni kuwa ......itawalazimu makolo kufika final huko looser cup kama baba zao Yanga
Ili kufikia record zao
Lengo sio kulinganisha na Yanga, lengo ni kupata point za kutosha kuiwezesha iendelee kushiriki African Football League, ligi yenye hela za watu za bure
 
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.

Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna kitakachobadilika, Yanga wataendelea kuwa mabingwa hadi pale kwenye TFF na bodi kubadilike, Simba kubadilike pia, hakuna watu kabisa ndani ya uongozi.

Azam walipopata bao la 2 baadhi ya viongozi walionekana katika tv wakiwa wanacheka, wanafurahia ushindi wa azam.

Tumeyatimba
Kipimo aka SI unit yao itakuwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho.
 
Hakuna ubaya wowote.mambo mengine ni mbwembwe tu zakibongo nakukuza mambo.Ata hivyo timu zetu sio kubwa kihivyo ili tushangae.Ni uswahili tu unatusumbua.
 
Ligi ya mabingwa itakosa mvuto msimu ujao.
 
Back
Top Bottom