Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.
Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna kitakachobadilika, Yanga wataendelea kuwa mabingwa hadi pale kwenye TFF na bodi kubadilike, Simba kubadilike pia, hakuna watu kabisa ndani ya uongozi.
Azam walipopata bao la 2 baadhi ya viongozi walionekana katika tv wakiwa wanacheka, wanafurahia ushindi wa azam.
Tumeyatimba