Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Lengo sio kulinganisha na Yanga, lengo ni kupata point za kutosha kuiwezesha iendelee kushiriki African Football League, ligi yenye hela za watu za bureUbaya ni kuwa ......itawalazimu makolo kufika final huko looser cup kama baba zao Yanga
Ili kufikia record zao
Simba imeshiriki super ligi yenye hela ila imeishia kushika nafasi ya tatuLengo sio kulinganisha na Yanga, lengo ni kupata point za kutosha kuiwezesha iendelee kushiriki African Football League, ligi yenye hela za watu za bure
CAF haiangalii ligi ya Bara, inaangalia ligi zakeSimba imeshiriki super ligi yenye hela ila imeishia kushika nafasi ya tatu
Kipimo aka SI unit yao itakuwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho.Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.
Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna kitakachobadilika, Yanga wataendelea kuwa mabingwa hadi pale kwenye TFF na bodi kubadilike, Simba kubadilike pia, hakuna watu kabisa ndani ya uongozi.
Azam walipopata bao la 2 baadhi ya viongozi walionekana katika tv wakiwa wanacheka, wanafurahia ushindi wa azam.
Tumeyatimba
we nduku kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ubuntu boso[emoji23]View attachment 3002151