an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Kaka, kaka kaka...muda huwa unabadilisha kila kitu hata watakao kupenda leo sio watakao kupenda kesho jaribu kuachana na mtu kwa uzuri......Nisingemchana angezoea na ipo siku anageniharibia hata mahusiano yangu ya sasa.
Tulia mtoto mzuriHuu ndio utamaduni wangu. Sitaki unafiki. Watu wengi sana walionichukulia poa nimewafanyia hivi, yaani nilipobadilika hawakuamini kama mini ni mtu yule yule niliyekuwa-peace kwao.
Umekomaa mwananguHahahahah wewe kama unaijua namba yake ipige tofali tu ili asikupate kabisa. Ila pia kama kuachana kwenu hakukuwa kwa ubaya sioni sababu ya kumpiga life ban hata ya kukutafuta. Haya maisha tunayoishi penda sana kujenga ujamaa kuliko uadui hasa kwa nchi zetu hizi za ulimwengu wa 3 wa dunia.
Ipo siku usioijua huyo demu anaweza kukufaa kwa namna moja ama nyengine. Mimi kuna watu nimeachana nao ila naweza kuwapigia any time na tukaongea freshi sababu tuliachana katika ukomavu tu sio kwa sababu za kishenzi. Ila kama mliachana kwa bifu basi haina budi kuendelea mlipoishia.
Ukubwa dawa mkuuUmekomaa mwanangu
Jibu zuri! Inaonesha Mbishi 4 real ni mbishi haswa na hawajui wanawake. Mwanamke kama bado anakupenda na ni strategist, huwezi kukatiza kwake. Mtarudiana tu! Katika mahusiano mwanamke ni kama mizizi na mwanaume ni matawi.Ulichokiandika kimeonyesha uwezo wako wa akili upoje na uzoefu wako wa maisha ni mdogo mno.Jifunze kwa waliokutangulia ujue maana halisi ya kuishi na watu
Labda wa huko mkoani kwenuHawafutagi namba kaka, anaweza kaa hata miaka miwili ukadhani kashakufuta kwenye maisha yake ukashangaa siku haina jina anakutafuta.