an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Kaka, kaka kaka...muda huwa unabadilisha kila kitu hata watakao kupenda leo sio watakao kupenda kesho jaribu kuachana na mtu kwa uzuri......Nisingemchana angezoea na ipo siku anageniharibia hata mahusiano yangu ya sasa.
hata huyo uliyenaye leo kesho anaweza kukuzingua pia.
To be matured sio kufunya mambo makubwa bali ni kuelewa vitu vidogo.