zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
Yaaaani we Me utaka kufanya nn?Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Hahaha umenifurahisha sana brother, kwamba anataka agundue nini?".....kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa "
UNATAKA ugundue nini baada ya kuzinyoa au ndio unatangaza mapenzi ya kinyume na maumbile hapa??
Ungeweka picha mkuu wengine hawajawahi kuona huo mferejiWadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
[emoji87] [emoji87]".....kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa "
UNATAKA ugundue nini baada ya kuzinyoa au ndio unatangaza mapenzi ya kinyume na maumbile hapa??
Najiuliza hapa nakosa jibuHahaha umenifurahisha sana brother, kwamba anataka agundue nini?
kabisa mkuuAfadhari agongwe gari afe kabsa, hasara kwa familia yake na taifa.......
Mkuu we usijiskie vibaya kwa kushambulia kwao hawa watu mie nasoma coment zao huku natabasamu tu mana wanaonyesha uelewa tofauti wa mitaani ...Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,
unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
Ahaha mkuu mbona swali zuri tu hili ni la kujadiliwa kwa upana kabisaa mkuu.......Huu uzi unatoa harufu ya kinyesi sasa ngoja inzi waanze kukufuata mtoa mada....