Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Madhara ni mengi ikiwa ni pamoja na kuwashwa washwa,kuota vipele na kupunguza friction iliyokuwepo wakati wa movements etc
 
Ukinyoa hizo nywele mat.ako yanakua yanapwitapwita kwa kuloa na jasho... Tule tunywele tunasaidia kuzuia jasjo kusambaa sambaa
 
Mtoa mada unazunguka sana...sema unatamani kuwa shoga....maana ndio dalili hizi....anyway nyoa bwana uchafu tu
 
Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,

unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
Correct!
 
Back
Top Bottom