Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

Kwani wewe hujisikii vibaya mwanamke kukulipa bill hovyo hovyo???

Nadhani hili jambo ni la ukakasi kwetu binafsi najisikia vby kulipiwa lipiwa mara nyingi nyingi na mwanamke
 
Kama una uwezo wa kuvumilia ignore offer za mwanamke unayemkula au mkeo.

Ikitokea iwe ni mtoko wako then na yeye kanogewa ana top up spending tu.

Ela za hao viumbe namna ya kuzila ni yeye kukupunguzia majukumu tu kama salon and likes ajigharamie mwenyewe.
 
Siku nyingine usioe mwanamke masikini na golikipa.

Siku ukitimuliwa kazini ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya.
Umasikini ni mbaya sana...., na msitunange wanawake kwa kutokuvutiwa na masikini hata nyie hamtutaki masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…