tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Habari wakuu?
Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home.
Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua vyakula vya mwezi mzima na mazaga mengine yanayotakiwa.
Then anampa mkewe elfu 50 kila week ya tahadhari na kununua vitu vidogo vidogo vya home.ila cha ajabu kila baada ya siku nne wife wake anamuambia hana hata mia, so jamaa anaona kama analemewa vile au anahisi kama mkewe anampiga flani hivi..so jamaa amepanga kuanza kumuachia housegal hela ya matumizi madogo madogo ya home kwani anahisi housegal anajitahidi kubalance budget.
So kanifuata kuniomba ushauri,itakua busara kumuachia housegal pesa wakati mkewe yupo?