MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Utapata returns nzuri sana ukimpa mwanaume nafasi yake.
Wishes za wanaume wote wa Kibantu ni kutambuliwa nafasi yao ya kibesi wa nyumba..huh!
Ni vizuri ukimpa mwanamme nafasi ya kuwa kichwa cha familia au cha mahusiani, lakini kamwe si mvulana.
Utapata returns nzuri sana ukimpa mwanaume nafasi yake.
Wishes za wanaume wote wa Kibantu ni kutambuliwa nafasi yao ya kibesi wa nyumba..huh!
Aksante Kaka kuna return zaidi ya kupendwa na kuenziwa? Kama hakuna why inakuwa ngumu kwa mwanamke kufanya haya? Hivi kuna mwanamke asopenda kupendwa na kuenziwa??
Mhhhh,
Mzima lakini wewe?
Kama hutajali hata ukifanywa msukule basi mpe kila kitu...Hata cheque books and ATM cards zote mupe tu dada yangu!!
Kipenda roho ....!!
Babu DC!!
Well, kama hiyo ndiyo nafasi inayotegemewa na kuhitajika kwenye mahusiano, mpe tu,...nia ya huyo Mbantu si ni kwamba afurahie mahusiano kwa kuwa na wewe(bila kubughudhiwa)?Hahahahahahah,
Kaka umesahau hawa wabantu wanavyozitumia vizuri hizo nafasi.....Unahemea kwa Asha na kulia kwa Mwajuma!!!
Babu DC!!
Haha Babu, mie mzima kama kigongo!.
Ah Babu kwani nikitoa ATM na Checque kwa mtu ambaye ananienzi, ananifikisha kunako ananithamini na kunipenda kuna madhara gani?? Tu-assume anakupenda kweli??
Kwa mapenzi hakuna hidden agenda bana......eti nakupenda laaziz nakenua macho kumpe nikikupa mgono unaona bado
Hivi kuna mwanamke asopenda kupendwa na kuenziwa??
I think return za kwenye mapenzi ziko ki-perception zaidi kuliko facts hivyo naweza kudhani kwamba i am honoring your love tokens only to find out that those tokens make no sense to youNaweza kukuhakikishia kwamba return on investment siyo nzuri kihivyo...Chance ya kupata hayo ni <50%
Babu DC!!
nilisha sema, ninarudia kusema, ANA HERI MWANAUME ALIYE/ATAKAYE MUOA MWANA JAMII.Wapendwa
Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!
Wapendwa