Kuna Ubaya Wowote?..

Kuna Ubaya Wowote?..

Hakuna ubaya MJ1 wala kufanya hivyo sikuchanganyikiwa.




....ahh, kaka umeadimika. Ni Kwaresma ama?
Welcome back.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
....ahh, kaka umeadimika. Ni Kwaresma ama?
Welcome back.


Hahahahaha lol!....Ahsante Kaka...hapana si kwaresma Kaka nilikuwa nazitega pesa 🙂🙂...si unajua mtaka cha uvunguni?....Pindua tanda taona 🙂🙂....Nashukuru sana Mkuu kwa ukaribisho....Natumai uwapendao wote wamesalimika kabisa. Kila la heri Mkuu, ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom