FL1 kusoma hujui hata kuangalia picha?obviously mmewe alikuwa hajarudi na bar zishafungwa!MJ1 hii post umendika saa 00:14 du hivi ndo ulikuwa unazidi kuchanganyikiwa ?
Ni jambo jema na la hekima kumpa mwanaume heshima yake kama kichwa cha familia..na heshima iwepo kati ya wote wawili
nikuulize Lizzy,kila siku mnatusema eti kuna wanaume na kuna wavulana,to put it your way unawaita wavulana wanaovaa suruali za wakubwa,sawa ni haki yenu kutusema maana jf hailipiwi Luku,lakini by the same token ina maana kuna wanawake na wasichana (wanaovaa magauni ya wanawake)? kama jibu ni ndio,nini sifa ya kuwa 'mwanamke' na kuwa 'msichana anayevaa gauni'?
Loh tatizo unadefine kichwa cha nyumba kama unavyoisoma jamani! Hivi unaposema she's my queen au he is my king tunamaanishaga nini?
My everything
Hahahahahahah,
Kaka umesahau hawa wabantu wanavyozitumia vizuri hizo nafasi.....Unahemea kwa Asha na kulia kwa Mwajuma!!!
Babu DC!!
Not only you are finished. You're finished, done and dusted.
Salute Kongosho.
Na katu huwezifikiria juu ya 'kujikabidhi' mazima kwa asostahili kuwa mwanaume!.
nasubiri waje wajibu hapa na watoe vigezo vya kuitwa 'mwanamke'.Safi sana bwana Bishanga! You hit it right on the head.
People should know that before they point out any flaws in others, they should take a hard look at themselves first and be satisfied that they don't have the same flaws that they see in others.
Kuna visichana kibao tu vinavyojifanya 'vianamke' halafu viko kimbelembele kunyooshea vidole wengine. Ooh eti f'lani sio 'real man'....girl please...are you a real woman?
Haha Babu, mie mzima kama kigongo!.
Ah Babu kwani nikitoa ATM na Checque kwa mtu ambaye ananienzi, ananifikisha kunako ananithamini na kunipenda kuna madhara gani?? Tu-assume anakupenda kweli??
Kwa mapenzi hakuna hidden agenda bana......eti nakupenda laaziz nakenua macho kumbe nikikupa mgongo unaona bado
raha ya mwanaumme ni kuwa mpiganaji bwanaSafi sana bwana Bishanga! You hit it right on the head.
People should know that before they point out any flaws in others, they should take a hard look at themselves first and be satisfied that they don't have the same flaws that they see in others.
Kuna visichana kibao tu vinavyojifanya 'vianamke' halafu viko kimbelembele kunyooshea vidole wengine. Oo
h eti f'lani sio 'real man'....girl please...are you a real woman?
raha ya mwanaumme ni kuwa mpiganaji bwana
familia ikikuangalia wafeel kweli kuna kidume ndani
Men are from Mars and will always be.
asante sana....cku hizi wanawake wengi ndio vichwa vya nyumba, sasa kama nasomesha, nalisha, etc uyo mvaa suruali nae ataitwa kichwa cha nyumba just b'coz ni mwanaume?.....au na define vibaya hiyo "kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc....
kweli kabisaNa raha ya mwanamke ni utulivu, heshima, na taadhima.
Watu wakimuangalia mkeo au mwanamke wako wanasema 'daah, mchizi pale kweli kapata'. Sio mwanamke uwe mapepe...hujui unachotaka...hujatulia...hodari wa kuona dosari za wenzio ilhali zako huzioni...
Hehehehe ndio hivyo dearest. . .Wengi wana zile leseni za kupeana mtaani kwahiyo hata sheria hawazifahamu.
OT. .
Nakuona unachungulia chungulia tu. . .kazi nyingi?
nikuulize Lizzy,kila siku mnatusema eti kuna wanaume na kuna wavulana,to put it your way unawaita wavulana wanaovaa suruali za wakubwa,sawa ni haki yenu kutusema maana jf hailipiwi Luku,lakini by the same token ina maana kuna wanawake na wasichana (wanaovaa magauni ya wanawake)? kama jibu ni ndio,nini sifa ya kuwa 'mwanamke' na kuwa 'msichana anayevaa gauni'?
Hilo nalo lipo sana dearest. Akiambiwa "mi jana nimemchapa mama nanii mabao akatia akili" nae anaenda kufanya praktiko kwake. Hawachanganyi na za kwao. . .wanasomba somba tu.Ubaya ni kuwa wengi wanajazana ujinga tu siku hizi...unashangaa mtu mzima ana sera za kipuuzi kumbe kazitoa baa na kwa kuwa labda zimetumika kwa mwenzie anazileta na kwake....!
Wiki hii zimepungua dearest ndo maana niko hapa kwa muda wa kutosha>>>> sichungulii bana...we ndo huonekani!