MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #101
Be careful with us men, we can make you cry or commit suicide.
what happened? You are becoming msumbufu everyday.
The last time I checked, ulikuwa kwa Mwingira, hama kabisa huko.
Umedai unaenda kuharibu biashara yangu nikakujibu kuwa kuna kichwa cha nyumba mle. Huwezi haribu hivi hivi. Ndio uzuri wa kuwa na kichwa cha nyumba kilicho na uwezo kwa ku-manage kila kitu in da house. Sana sana utaishia mlangoni, and watch out kuna utelezi pia hapo nje usije ukaanguka na kuvunjika mbavu bure.
Hapa nakubaliana na wewe Da mdogo kwa asilimia 110. tuko pamoja hapa. Yaani nafurahia maisha katika mwanga bora mpaka pale Tanesco watakapochukua umeme wao kitu ambacho ninaelewa kuwa chaweza kutokea. Lakini sio eti umeme upo basi Mj1 mie nisijivinjari kwenye kioo kuyafurahia makalio yangu ya embu kisa, Tanesco wanawezauchukua umeme wao! ah vunja mifupa bwana ila jua wawezashindwa kuivunja ukishang'oa meno but kuna kima ati................

Yaani wewe MJ1 wewee...lol. Naona tupo pamoja, ngoja na mimi haya majibu nahisi yatanifaa.....
Umenifanya nicheke mwenyewe usiku huu we Mdada. Eti tuko pamoja haya pokea zawadi ila jua nakumiss
Juliana featured new song - 2011 - Bing Videos
Mimi I missed you more.... Hadi tulifufua uzi wako wa kumisiwa am telling you....lol
Hio zawadi ya ukweli....lol. I feel so alive again. hahahaha....
Sasa umeamua nini? Utabaki nae na umpe nafasi ya "Uanaume"?? Umecheki dalili zote ana qualify? lol
Hahah ukisikia uchokozi ndo huu sasa Da Mkubwa loh............. we nilishakwambia kwa hili ni mpaka tuweke kikao mi na weye ati!! umesahau eh!! lol
jiangalie mwaya, habari za umeme unakatika halafu unasema hukujua kama ungetika hatutaki kuzisikia. Umeme ukikata unatafuta shughuli nyingine ya kufanya na sio kuanza kulaumu tanesco kwanini wamekata.
Mimi I missed you more.... Hadi tulifufua uzi wako wa kumisiwa am telling you....lol
Hio zawadi ya ukweli....lol. I feel so alive again. hahahaha....
Sasa umeamua nini? Utabaki nae na umpe nafasi ya "Uanaume"?? Umecheki dalili zote ana qualify? lol
na
ngumu kujua yupi real yupi foto, watu wana pretend balaa,hayo yalikuwaga enzi hizo bwna cku hizi mambo mseto, wa2 wanafukuzia wapi kinaeleweka wateremke napo, ule uanaume unapungua kila kukicha,( wamejaa wapenda kuhongwa) atakuganda ukidhani mapenzi/mahaba kumbe kuna anachokitaka...muwe na mipaka, tunachoka na hizi kec za wahudumiaji kuja kujiliza liza wametendwa kumbe ni wao wenyewe hawakusoma alama za nyakati....pweeh, huo mnaousema kichwa cha nyumba tunaufanya sana but kwa macho makavu/makali, sasa nendeni kichwa kichwa na hiyo "real man" yenu kesho 2wasome vingine....btw MJ1 kimeshaeleweka? angalia mama ucje angukia pua!
Mie bwana naona tupange siku rasmi kabisaaa! Nimechoka huku kuahirisha.... Alafu Sweetie aliniambia kuna mahala alikutuma pale nilipo kuulizia kwa kukumiss.... Ni wapi huko? lol
...kha! Siku hizi nawe una vijimsemo, mnh!
....' "utabaki nae na umpe nafasi ya "uanaume??" umecheki dalili zote ana qualify?" '......
mnh, AshaDii ujijue wewe ni dada'ngu wa mtandaoni na maandiko yako kwangu ni wosia,
hebu nitafsirie - kumpa mwanaume nafasi ya "uanaume" mmekusudia nini?
Katika midahalo yoote, huu wa Mwj1 umenishindia hapo, am lost in translation...
Pls dear, "asojua maana haambiwi maana" hai apply hapa..Am counting my eggs frm ur hatchery.
...
...."btw MJ1 kimeshaeleweka? Angalia mama ucje angukia pua!"
The most scarriest words from you bana, Nyamayao una nini lakini?
Acha mwenzio apende bana.....tumuombee heri mwenzetu huko aendako.
Bado sijauelewa mdahalo huu ..Unless mtanipa definition nzuri ya "Uanaume 2012/real man2012/kichwa cha nyumba 2012" ...maana mpaka sasa najionea mataji mengine ni sawa na lile taji la miiba kama alovishwa Yesu kristo
akielekea kusulubiwa...
...kha! Siku hizi nawe una vijimsemo, mnh!
...
"....Who is your Ideal Man? I know Who is my Ideal Woman..."
2012, dunia ni yako, maamuzi ni yako...chagua mke ambaye
mume atakuwa na fahari kuishi naye, epuka mke 'anayejifaharisha'
kwa kila mwanaume.
hahahaha! Tunamvuta mwanajamii asije akaangukiwa na jumba bovu. Lol.
Hahahahah Aksante Da Mdogo I know una-care ila mwe unanivuta kwa ukali bana hahahahah yaani kama vile wansuta na kibwebwe nyongani!!