Kuna Ubaya Wowote?..

Hakuna ubaya MJ1 wala kufanya hivyo sikuchanganyikiwa.


....ahh, kaka umeadimika. Ni Kwaresma ama?
Welcome back.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
....ahh, kaka umeadimika. Ni Kwaresma ama?
Welcome back.


Hahahahaha lol!....Ahsante Kaka...hapana si kwaresma Kaka nilikuwa nazitega pesa πŸ™‚πŸ™‚...si unajua mtaka cha uvunguni?....Pindua tanda taona πŸ™‚πŸ™‚....Nashukuru sana Mkuu kwa ukaribisho....Natumai uwapendao wote wamesalimika kabisa. Kila la heri Mkuu, ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…