Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Niweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni makala uchwara za machawa bila aibu uzinduzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere anamiminiwa sifa Mama Samia na hakuna sehemu anatajwa Magufuli.
Watanzania wenzangu hii si sawa, Taifa linakopekekwa ma machawa si sahihi kwa afya ya Taifa hii tabia ikemewe kwa nguvu zote.
Ninaamini Magufuli mwenyewe aliyekuwa na uthubutu wa kuanza huu mradi baada ya Nyerere kumshinda na hakujali kelele za wabwekaji wa Mabeberu kama angekuwa hai leo kuzinduwa mwwnyewe huu mradi leoleo mngesikia tangazo ka kushushwa bei ya umeme.
Haina maana yoyote kuwa na umeme mwingi mpaka wa ziada halafu raia wanaogopa kutumia plate za umeme kupikia wanatumia plate za gas tu.
Naam mtanikumbuka ni kweli sasa tutamkumbuka kwa mema yake licha ya kuwa hakuwa mtawala bora lakini kuna vitu vya msingi alivisimama bila kucheka na kima.
Kwa watakaoliona andiko la Shaka Hamdu Shaka linatia kinyaa na ni dharau kwa Watanganyika.