Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Mtu mwenye jinsia ya kiume akishajiita tu "Boy" huwa hawezi kunisumbuwa akili.Wewe jamaa si chawa wa kizimkazi afu wakati huo huo tena unawalaumu chawa kuwa wanalipeleka taifa pabaya??!!
Wewe umeshasifia Magufuli na wengine wamesifia Samia kwahiyo inatosha.
Lakini hivi kwanini tusipongeze watendaji wa awamu husika badala ya mtu binafsi?
Kawaida, ndiyo ulikua mtindo wa magu,brt aliaminisha umma alijenga yeye, kadhalika daraja kigamboni,na hata alifikia kuuliza bila yeye mabarabara na mahospital yangejengwa!?..acha anywe dawa yake mwenyeweNiweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni makala uchwara za machawa bila aibu uzinduzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere anamiminiwa sifa Mama Samia na hakuna sehemu anatajwa Magufuli.
Watanzania wenzangu hii si sawa, Taifa linakopekekwa ma machawa si sahihi kwa afya ya Taifa hii tabia ikemewe kwa nguvu zote.
Ninaamini Magufuli mwenyewe aliyekuwa na uthubutu wa kuanza huu mradi baada ya Nyerere kumshinda na hakujali kelele za wabwekaji wa Mabeberu kama angekuwa hai leo kuzinduwa mwwnyewe huu mradi leoleo mngesikia tangazo ka kushushwa bei ya umeme.
Haina maana yoyote kuwa na umeme mwingi mpaka wa ziada halafu raia wanaogopa kutumia plate za umeme kupikia wanatumia plate za gas tu.
Naam mtanikumbuka ni kweli sasa tutamkumbuka kwa mema yake licha ya kuwa hakuwa mtawala bora lakini kuna vitu vya msingi alivisimama bila kucheka na kima.
Kwa watakaoliona andiko la Shaka Hamdu Shaka linatia kinyaa na ni dharau kwa Watanganyika.
Hakuna ugomvi kabisaNiweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni makala uchwara za machawa bila aibu uzinduzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere anamiminiwa sifa Mama Samia na hakuna sehemu anatajwa Magufuli.
Watanzania wenzangu hii si sawa, Taifa linakopekekwa ma machawa si sahihi kwa afya ya Taifa hii tabia ikemewe kwa nguvu zote.
Ninaamini Magufuli mwenyewe aliyekuwa na uthubutu wa kuanza huu mradi baada ya Nyerere kumshinda na hakujali kelele za wabwekaji wa Mabeberu kama angekuwa hai leo kuzinduwa mwwnyewe huu mradi leoleo mngesikia tangazo ka kushushwa bei ya umeme.
Haina maana yoyote kuwa na umeme mwingi mpaka wa ziada halafu raia wanaogopa kutumia plate za umeme kupikia wanatumia plate za gas tu.
Naam mtanikumbuka ni kweli sasa tutamkumbuka kwa mema yake licha ya kuwa hakuwa mtawala bora lakini kuna vitu vya msingi alivisimama bila kucheka na kima.
Kwa watakaoliona andiko la Shaka Hamdu Shaka linatia kinyaa na ni dharau kwa Watanganyika.
Credit kwa woteBila JPM kusingekuwa na uzinduzi huu Leo credits kwa JPM ndiye mwenye mradi maana Kwa uthubutu wake na kupigana na vikumbo vya Kimataifa
Hakuna mwingine ambaye angeweza kati ya wote waliokusanyika hapo
Mzanzibar hawezi kupambana na mradi kama huu na atamaliza muda wake bila kuwa na mradi wa maana
Nami nakiri wazi Magufuli simkubali lakini nilichokiona ni kutokumtendea haki kwa "legacy" yake ya JNHPP.Niweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni makala uchwara za machawa bila aibu uzinduzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere anamiminiwa sifa Mama Samia na hakuna sehemu anatajwa Magufuli.
Watanzania wenzangu hii si sawa, Taifa linakopekekwa ma machawa si sahihi kwa afya ya Taifa hii tabia ikemewe kwa nguvu zote.
Ninaamini Magufuli mwenyewe aliyekuwa na uthubutu wa kuanza huu mradi baada ya Nyerere kumshinda na hakujali kelele za wabwekaji wa Mabeberu kama angekuwa hai leo kuzinduwa mwwnyewe huu mradi leoleo mngesikia tangazo ka kushushwa bei ya umeme.
Haina maana yoyote kuwa na umeme mwingi mpaka wa ziada halafu raia wanaogopa kutumia plate za umeme kupikia wanatumia plate za gas tu.
Naam mtanikumbuka ni kweli sasa tutamkumbuka kwa mema yake licha ya kuwa hakuwa mtawala bora lakini kuna vitu vya msingi alivisimama bila kucheka na kima.
Kwa watakaoliona andiko la Shaka Hamdu Shaka linatia kinyaa na ni dharau kwa Watanganyika.
Ukipanda SGR unaziona athari zake chanya, hata machawa wafanye nini ukweli utabaki kuwa wazi.Watanzania wengi sasa hivi wanajua nani ni nani...JPM, Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Bila uthubutu wake, tusingejua kama haya mambo mengi yanawezekana.
Dr. Samia aanzishe project mpya. Hizi anazofungua ni za awamu ya 5 na nyingi zimechelewa kweli kweli.Ukipanda SGR unaziona athari zake chanya, hata machawa wafanye nini ukweli utabaki kuwa wazi.
Bila JPM kusingekuwa na uzinduzi huu Leo credits kwa JPM ndiye mwenye mradi maana Kwa uthubutu wake na kupigana na vikumbo vya Kimataifa