Kuna ugumu gani kwa CHADEMA kukusanya ushahidi wa vinavyodaiwa ni vitendo vya kikatili vya awamu ya Tano na kesi ikafunguliwa?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
 
Habari jf ,kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote .

Je kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia ?

Je wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli ?
Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
 
Ndio maana kuna maridhiano sasa hivi, hata kama yameanza kupingwa kwenye mikutano ya siasa iliyoletwa nayo, hiyo ndio hulka ya mwanadamu, leo akitaka hiki akakipata, kesho atataka kingine, wacha maisha yanedelee, sioni kama kuna sababu ya kwenda mahakamani tena.
 
Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.

Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.

Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.

Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.

Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
 
Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Hili sio jibu sahihi bali uswahili wa kijinga tupu.
 
Habari jf ,kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote .

Je kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia ?

Je wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli ?
Ukweli chadema wana hasira na kisasi kwa magufuli kuwashinda uchaguzi na kuwatoa kapa. Halafu ni wajinga. Licha kila ishara kutokana na utendaji mzuri au tuite muziki wa magufuli kuashiria wasingeambulia kitu wao wakamuamini yule mshauri wao shoga armsterdam eti wangemshinda vibaya magufuli. Watu na akili zao eti waliweka mtaalam elekezi mzungu wakaamini uongo wake. Kama sio kutaka kupiga hela ya chadema viongozi wa chadema watakua wajinga sana. Sasa wamebaki na hasira na kisasi cha kijinga kwa magufuli. Magufuli alikua kiongozi bora sana. Kujaribu kupambana naye japo marehemu ni kujitenga tu na umma wa watanzania.
 
Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Huna hoja
 
Huna hoja
Kwani uongo sukuma gang wanasema msoga gang ni mafisadi lakini hawajawahi kupeleka ushahidi wakafungua kesi mahakamani ila tu wanaishia kusema mtandaoni na majukwaani tu
 
Mbele....

Wana Testi zali BBT na mikwara mingi tu.

Nyuma huku ni zero kabisa. Sasa kazi itakuwepo kuja kuwalipa madubwasha waliyoyapa ridhaa ya kurusha mauwongo, nusu kweli na kuunga unga matukio..... kazi kweli

Chagua kwa uangalifu 2025
 
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Hizo ni siasa maji taka, wapotezee tu
 
KwN lazima chadema hata sisi raia wa kawaida si tunavijua
Hata wewe unavijua sema tu umeamua kuwa taahira
Maoni ya mpumbavu mwerevu,rudia kusoma kilichoandikwa na mleta uzi,kisha pitia majibu yako ndio utajua wewe ni kiazi kwerikweri
 
Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Jibu zuri, sidhani kama atarudi tena.
 
Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
CHADEMA wacheni kutumia Lugha za kibaguzi.

Hakuna Genge lelote Tanzania linaloitwa Sukuma Gang., Kuna Kabila la WASUKUMA.

Ni dhahiri kila ikitokea hoja badala ya kuipinga kwa hoja mnaleta lugha za kejeli na kubeza Kabila la WASUKUMA

CHADEMA stop this GENOCIDE.
 
Je, vipu kuna team msoga? And mind you sukuma gang haimaanishi gang la kabíla la wasukuma ndio maana hata akina bashiru ambao sio wakusuma wanasadikika kuwa wamo.
 
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Hivi hata lile la Makonda kuvamia Clouds na clip yake jusambaa mitandaoni bado unataka ushahidi mwaingine.
 
Kuna ugumu gani?

CHADEMA haina Ushahidi na wala haijawai kuwa na Ushahidi. Manake haijawah kuweka na kutetea madai yao, zaidi ya kuishia kusema "wanatembea na makabrasha" Bwana Mzee Tundu alidai katika mkutano wake wakwanza, kuwe atatutaarifu Watanzania. Anashindwa nini kupeleka kabrasha hilo hata International Court?
 
Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.

Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.

Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.

Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.

Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Kama ambavyo hata nyie mmemshindwa kufungua kesi za ufisadi wa JK kwa kukosa ushahidi.
 
Back
Top Bottom