Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Unaongea kama features fulani hivi!Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.
Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama⁹ kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.
Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.
Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.
Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Hizo sera za ccm zimewasaidia nn watanzania mbona mpaka leo watu wanakunywq maji ya tope huko vijijini? Hayo yameletwa na chadema au ccm acha kuongea kama kasuku.