Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.Habari jf ,kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote .
Je kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia ?
Je wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli ?
Hili sio jibu sahihi bali uswahili wa kijinga tupu.Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Kwa maoni yako wewe lakini huo ndio ukweli. Ushawahi jiuliza kwanini Takukuru huwa hawachunguzi viongozi hadi kwa maagizo ya kiongozi wa juu zaidi hata kama wana tuhuma?Hili sio jibu sahihi bali uswahili wa kijinga tupu.
Ukweli chadema wana hasira na kisasi kwa magufuli kuwashinda uchaguzi na kuwatoa kapa. Halafu ni wajinga. Licha kila ishara kutokana na utendaji mzuri au tuite muziki wa magufuli kuashiria wasingeambulia kitu wao wakamuamini yule mshauri wao shoga armsterdam eti wangemshinda vibaya magufuli. Watu na akili zao eti waliweka mtaalam elekezi mzungu wakaamini uongo wake. Kama sio kutaka kupiga hela ya chadema viongozi wa chadema watakua wajinga sana. Sasa wamebaki na hasira na kisasi cha kijinga kwa magufuli. Magufuli alikua kiongozi bora sana. Kujaribu kupambana naye japo marehemu ni kujitenga tu na umma wa watanzania.Habari jf ,kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote .
Je kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia ?
Je wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli ?
Huna hojaSababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Kwani uongo sukuma gang wanasema msoga gang ni mafisadi lakini hawajawahi kupeleka ushahidi wakafungua kesi mahakamani ila tu wanaishia kusema mtandaoni na majukwaani tuHuna hoja
Hizo ni siasa maji taka, wapotezee tuHabari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Maoni ya mpumbavu mwerevu,rudia kusoma kilichoandikwa na mleta uzi,kisha pitia majibu yako ndio utajua wewe ni kiazi kwerikweriKwN lazima chadema hata sisi raia wa kawaida si tunavijua
Hata wewe unavijua sema tu umeamua kuwa taahira
Jibu zuri, sidhani kama atarudi tena.Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
CHADEMA wacheni kutumia Lugha za kibaguzi.Sababu inayofanya Sukuma gang washindwe kukusanya ushahidi wa wa kile wanachodai ni upigaji na ufisadi wa msoga gang na kuupeleka mahakamani ndio hizo hizo zinazozuia chadema kufanya hivyo.
Ulishawahi kuona wapi nchi hii watawala wanashitakiwa na kuchukuliwa hatua?
Je, vipu kuna team msoga? And mind you sukuma gang haimaanishi gang la kabíla la wasukuma ndio maana hata akina bashiru ambao sio wakusuma wanasadikika kuwa wamo.CHADEMA wacheni kutumia Lugha za kibaguzi.
Hakuna Genge lelote Tanzania linaloitwa Sukuma Gang., Kuna Kabila la WASUKUMA.
Ni dhahiri kila ikitokea hoja badala ya kuipinga kwa hoja mnaleta lugha za kejeli na kubeza Kabila la WASUKUMA
CHADEMA stop this GENOCIDE.
Hivi hata lile la Makonda kuvamia Clouds na clip yake jusambaa mitandaoni bado unataka ushahidi mwaingine.Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Kama ambavyo hata nyie mmemshindwa kufungua kesi za ufisadi wa JK kwa kukosa ushahidi.Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.
Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.
Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.
Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.
Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.