Kuna ugumu gani kwa CHADEMA kukusanya ushahidi wa vinavyodaiwa ni vitendo vya kikatili vya awamu ya Tano na kesi ikafunguliwa?

Unaongea kama features fulani hivi!
Hizo sera za ccm zimewasaidia nn watanzania mbona mpaka leo watu wanakunywq maji ya tope huko vijijini? Hayo yameletwa na chadema au ccm acha kuongea kama kasuku.
 
Ni mtu mwenye tatizo la afya ya akili tu ndo anaweza kusema eti tuliwahi kufanya uchaguzi kipindi cha shetani lile la Chato
 
Mwaka 2020 kura zilipigwa siku mbili kabla. Labda huo ndiyo mziki wa chizi unaouzungumzia. [
 
Ww ni Mtumwa wa Msoga gang kama watu walishafunguliwa kesi baadae wakaachiwa unataka ushahidi gani najua mnashangilia sana logo cha mzalendo Magufuli nasema kila nafsi yenye uhai itaonja umauti ukiwemo ww
 
Nani alifunguliwa kesi na akaachiwa? Umesahau kuwa JPM mwenyewe hadi alimpa ubunge mke wa mwenyekiti wa msoga gang? Yani unawatuhumu kisha unawapa vyeo? Na bado jina la prince wa msoga hakulikata? What does that mean?
 
Alijishinda mwenyewe na ndio maana yupo Huko aliko anasherehekea ushindi...
 
Polisi wanakazi gani na je unajua dpp anatumia vigezo vip kufungua kesi
 
Polisi wanakazi gani na je unajua dpp anatumia vigezo vip kufungua kesi
Basi acheni kutusumbua ,polisi walishasema waliopotea wamekwenda nje kutafuta maisha .
 
Rais mstaafu anashitakiwa ?
Kusanyeni ushahidi washtakiwe waliohusika kwenye ufisadi awamu ya Nne kama ambavyo enzi za JK walishtakiwa akina Mramba na Daniel Yona
 
Mwaka 2020 kura zilipigwa siku mbili kabla. Labda huo ndiyo mziki wa chizi unaouzungumzia. [
Nyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
 
Hivi hata lile la Makonda kuvamia Clouds na clip yake jusambaa mitandaoni bado unataka ushahidi mwaingine.
Ndio maana nakuiteni kasuku. Mkuu wa mkoa iweje awe mvamizi kituo cha radio mkoani kwake. Juzi hapa kaeleza alivyokwenda pale na walinzi aliyopewa na ikulu kutokana na vitisho vya wauza danga. Clip yenyewe haionyeshi nguvu yoyote ikitumika. Yule waziri mjinga aliyekua adui yake akajidai eti kuunda kamati kumchunguza mkuu wa mkoa bila kupewa idhini na mamlaka iliyomteua. Mjinga akaishia kutumbuliwa.
 
Tanzania hakuna mahakama za mpinzani kwenda kufungua kesi na akapata haki. Vyombo vya uchunguzi ndio vilikuwa sehemu ya uchafu ule, unategemea kupata lolote la maana hapo?
 
Nyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
Sasa mtu keshakuambia kabisa DED aliyempa gari na mshahara hataki kumsikka anamtangaza mpinzani mshindi wewe unategemea nn hapo?
Una umri gani kwanza
Elimu yako je? Nimeuliza haya makusudi maana tafiti zimeshafanywa juu ya wanaokikubali ccm
 
Ni siasa tu enzi za JK ghorofa jipya hata liwe Masasi au Mpanda utaambiwa la Ridhiwani.

Hayo maridhiano kama wangekuwa serious kweli na hayo matukio terms zingejumuisha uchunguzi huru kuhusu matukio ya risasi na kupotea kwa hao waliopotea.

Ajabu vipaumbele imekuwa kulipwa madeni,ruzuku,mikutano na kufutiwa kesi.
 
Kwa maelezo haya huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani. Yaani ule uhayawani tumeuona kisha unataka ukusanywe ushahidi?! Ushahidi unaupeleka kwenye vyombo hivihivi vilivyishiriki uhayawani ule, kisha utegemee kupata majibu ya kueleweka? Kama ripoti ya CAG iko wazi vile na hakuna hatua za maana, ndio itakuwa ushahidi wa wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…