FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!!
Muda mwingi niliutumia kujifunza kuhusu mapenzi, Moja ya kelele nilizokutananazo ni Tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni na shida ya nguvu za kiume..
Nilichogundua, sababu pekee inayoweza pelekea mwanamke asifike kileleni ni UBAKAJI, Yani kulazimisha tendo pasipo hiari yake..
Sasa huwa sielewi, kwanini wanawake wengi bado wanalalamikia kutofikishwa ama malalamiko yao ni FAKE Ili kutengeneza mazingira ya kutusimanga wanaume!!