KERO Kuna uhaba mkubwa wa maji Ilazo Extension-Dodoma

KERO Kuna uhaba mkubwa wa maji Ilazo Extension-Dodoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mgosiwangu

New Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
2
Reaction score
4
Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha maji yanapatikana.

Huu ni mfano wa bili iliyokuja kwa mwezi mzima. Tumepata unit mbili pekee za maji. Huku mwezi uliopita hayakutoka kabisa. Ni vyema tukajua kama huduma ya maji haitolewi na serikali kuliko kusumbuliwa tu na wasoma mita wanaokuja kusoma mita za mabomba yasiyotoa maji.

WhatsApp Image 2024-05-20 at 12.37.45.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 12.36.02.jpeg
 
Back
Top Bottom