Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

Hela za ruzuku za inazopewa CCM jama chama kazi yake kununua mabasi ya mwendo kasi?

Mabasi binafsi ,bodaboda,taxi, bajaji ziko kibao kwa nini usipande lofa wewe

Kama unashindwa usafiri wote huo lofa wewe umekosea Dar sio sehemu ya kuishi lofa mkubwa kama wewe rudi porini kijijini kwenu na usije kanyaga Dar tena ukome

Dar sio sehemu ya kuishi malofa wakubwa kama wewe

Unatamba kwenu maporini huko ooh mimi niko Dar wakat lofa

Una nini wewe cha kujidai unaishi Dar? Dar sio jiji la maskini waambie na malofa wenzio wanaotaka kuja Dar wawe nduguzo nk hivyo
 
Nchi ambayo mwananchi anaogopa akikosoa atatekwa, nchi ambayo wasanii wanahisi usipo nyenyekea na kusifa gavoo hutoboi , nchi ambayo mpira wa miguu umeingiliwa na siasa na kua mtaji kwa wanasiasa .. nchi ambayo kusifia ni ajira na unapata umaarufu kwa kuitwa chawa…haya mambo sio ya kushangaa kabisa the worst is coming!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…