MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Dodoma hakuna mafund kabisai, wanabeba mavifaa mengi, mapima maji na makamba kamba mengi lakini wanapindisha maukuta, hamna kitu kabisaLipa mafundi Mkuu😂, hizo ndo matokeo ya urushi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma hakuna mafund kabisai, wanabeba mavifaa mengi, mapima maji na makamba kamba mengi lakini wanapindisha maukuta, hamna kitu kabisaLipa mafundi Mkuu😂, hizo ndo matokeo ya urushi
Mi mwenyewe engineer, shida ni wale wataalam wa kunyoosha ukuta kama ruler, ningekuwa naweza ningejenga mwenyewe tu, mafundi wengi wanakunywa visungura, wale wa kueleweka hawapatikani…Ma engineer tupo
Kuna mafundi niliwapa kazi yangu Dodoma nimeenda nimekuta hawajaifanya, material hayapo na hela nilishawamilizia, nchi ngumu sana hii
Daah! inauma sana
Mafundi, Mainjinia wengi wamekimbilia Zanzibar. Huko kuna miradi mingi na malipo mazuri sanaTangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali mbali ya mpira na vijiwe vya kamari. Je, tatizo ni ubovu wa mfuno wa elimu kwa kutojumuisha ufundi stadi wenye high demand na mchango mkubwa katika ujenzi na ustwei wa taifa?
Mafundi ujenzi wa kueleweka karibu wote wapo Kariakoo, huku mtaani mafundi wengi wamebaki ni wanywa visungura vile vikali, ukimpa kazi ukuta unapinda pinda kama mti wa mbuyu.
Kule Ujerumani hurusiwi kusime degree ya aiana yeyote ile kama huna cheti cha ufaulu wa ufundi stadi wa aina yeyote, hata kama unataka kuchukua degree ya sheria, lazima kwanza usimee na kufaulu ufundi either wa umeme, Mekanika au chochote kile..
OkayMi mwenyewe engineer, shida ni wale wataalam wa kunyoosha ukuta kama ruler, ningekuwa naweza ningejenga mwenyewe tu, mafundi wengi wanakunywa visungura, wale wa kueleweka hawapatikani…
Tupo sana.Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali mbali ya mpira na vijiwe vya kamari. Je, tatizo ni ubovu wa mfuno wa elimu kwa kutojumuisha ufundi stadi wenye high demand na mchango mkubwa katika ujenzi na ustwei wa taifa?
Mafundi ujenzi wa kueleweka karibu wote wapo Kariakoo, huku mtaani mafundi wengi wamebaki ni wanywa visungura vile vikali, ukimpa kazi ukuta unapinda pinda kama mti wa mbuyu.
Kule Ujerumani hurusiwi kusime degree ya aiana yeyote ile kama huna cheti cha ufaulu wa ufundi stadi wa aina yeyote, hata kama unataka kuchukua degree ya sheria, lazima kwanza usimee na kufaulu ufundi either wa umeme, Mekanika au chochote kile..
Nipe mie nikusimamie ujenzi broNchi ngumu sana hiii, alafu wanalalamika hakuna ajira, wakipewa kazi wanaharibu