Haha poa aiseeAsante sana mkuu unajua wengine shule tulipita tu wala hatukusoma
Hahahahaaaa. umeonaeeeeHiyo kuringa inatokana na yale masifa ya uongo mayotoaga bwana!!!!
Sasa mlidumu kweli mana maringo yakizidi sana huwa zinakuwa kama dharau.Hahahahaaa nilikuwa nalinga hatar mkuu huwez amin
Kabisaa best... Wabaya kweeeli haoHahahahaaaa. umeonaeeee
Ni yale masifa sio ya nchi hiiHakunaga sifa wala nini lakin mwenyewe utaona kabisa kuwa hapa napendwa