Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana wa jukwaa
Husika na kichwa cha habal hapo juu
Iv ni kwanini ukipendwa sana lazima ulinge?
Na ni kwanini ukitokea sana kumpenda mtu anaanza kulinga tena, hata cm anakua hapokei hata ukituma msg hajibu kwa wakati
Mimi kuna msichana mmoja nilikuwa nampenda sana lakin baadae yeye ndo akanipenda zaid sasa baada ya kujua hivyo acha nianze kulinga mie,
Sijui hata kwanini huwa tunalinga sana tukipendwa
Tukutane kesho kwenye show la kibabe BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA
LONDON BABY