Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
si hivyo tu,Habari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.
Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.
Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?
Mwenye majibu tafadhali.
si hivyo tu,
hata wafanyabiashara wengi sio tu karioakoo bali pia katika masoko mengi humu jijini ni kutoka mikoani π
Inamaanisha watu wengi mnaoishi dar ni watu wa kujaHii inamanisha nini hasa?
wazawa ni mamwinyi zaidi, wanazionea aibu fursa πHii inamanisha nini hasa?
Uko sahihi Dar ni mji wa wageni Toka mikoaniInamaanisha watu wengi mnaoishi dar ni watu wa kuja
Leo umeonesha kumbe ni nweupe kichwani, mtu kuzaliwa na kuishi dar miaka 20 unaona keshaacha kuwa mtu wa mikoani? Keshakuwa mtu wa pwani? Utakuwa mtoto sana wewe. Unajua Mwamposa amekaa dar miaka mingapi?Habari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.
Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.
Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?
Mwenye majibu tafadhali.
Vijana wakishiba ugali utumbo uliopikwa na panado wanajiharishia tu humu mitandaoni.Leo umeonesha kumbe ni nweupe kichwani, mtu kuzaliwa na kuishi dar miaka 20 unaona keshaacha kuwa mtu wa mikoani? Keshakuwa mtu wa pwani? Utakuwa mtoto sana wewe. Unajua Mwamposa amekaa dar miaka mingapi?
Huko kote unakosema ukikaa nje ya Tanzania huwezi kusali kwenye makanisa ya upako unadhani wanaosali haya makanisa kwa tb joshua wametoka Kigoma, Arusha, Ruvuma nk?
Au ulitaka waislam ambao ndo wakazi wa pwani ndo wajae kwenye hayo makanisa?
Leo huna hoja.
Sidhani, ila itoshe tu kusema ni kipimo tosha sana cha akili za watu ndani ya jamii.Habari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.
Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.
Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?
Mwenye majibu tafadhali.
Jamaa amekosea kuleta wazo lake.
Nadhani alitaka kubagaza watu wa mikoani na alitaka kudharau wadau wa imani kutoka nchi maskini.....anyways ni mtazamo patofu
Sehemu yoyote mzawa hajawahi mzidi mgeniwazawa ni mamwinyi zaidi, wanazionea aibu fursa π
chungulia ata kwenye siasa vyama vya kisiasa karibu vyote viongoxi na wanachama wa vyama hivyo ni kutoka mikoani π
Emeandika kwa kusikia bila uhalisia ,ungejua kuwa unaandika uongo usinge eandika haya maupupuHabari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.
Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.
Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?
Mwenye majibu tafadhali.
naiona hiyo hadi kijijini kwetu aise πSehemu yoyote mzawa hajawahi mzidi mgeni
Mikoani ni wapi huko mkuu? Ni wapi wanapopatikana hao wajanja na wanaojitambua?Mikoani kuna Watu Wajanja na Wanaojitambua?
mkuu kula5 umetisha mbayaLeo umeonesha kumbe ni nweupe kichwani, mtu kuzaliwa na kuishi dar miaka 20 unaona keshaacha kuwa mtu wa mikoani? Keshakuwa mtu wa pwani? Utakuwa mtoto sana wewe. Unajua Mwamposa amekaa dar miaka mingapi?
Huko kote unakosema ukikaa nje ya Tanzania huwezi kusali kwenye makanisa ya upako unadhani wanaosali haya makanisa kwa tb joshua wametoka Kigoma, Arusha, Ruvuma nk?
Au ulitaka waislam ambao ndo wakazi wa pwani ndo wajae kwenye hayo makanisa?
Leo huna hoja.
Kwani wa mikoani wenyewe wanasemaje????