Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenetu huwa unatumia muda wako mwingi kuandika madudu.Habari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.
Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.
Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?
Mwenye majibu tafadhali.
[emoji16][emoji16]Mwenetu huwa unatumia muda wako mwingi kuandika madudu.
Jibu ni uaghari wa huduma za afya kwenye hospitali zote zikiwemo za serikali, wananchi wameamua kufuata huduma mbadala japo hazina uhakika.Habari za jumapili!