Kuna uhusiano gani baina ya Makanisa ya Upako na Watu wa mikoani. Kwa sababu ndio waliojazana Huko.

Mwenetu huwa unatumia muda wako mwingi kuandika madudu.
 
Jibu ni uaghari wa huduma za afya kwenye hospitali zote zikiwemo za serikali, wananchi wameamua kufuata huduma mbadala japo hazina uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…