Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
wanasubiria bia za ofaHata bar kuna paka hua wanafanya nn bar?!
Sent from my SM-G988 using Tapatalk
out of topicKuna mshikaji anauza paka weusi kwa wahindi huko Kariakoo.
Umejuaje ni out of topic wakati nataka kuweka taarifa zote hapa.
Huu ni ukweli 100%Kwa ajili ya kukabiliana na panya wanokula bidhaa za dukani
Kuna panya hatari wanatoboa hadi soda za kopo
Chief kwani maduka ya wakina nani hayana paka??Maduka ya wahindi, waha, wakinga, wachagga, waarabu, wapemba etc Kuna paka.
Je wanafanya Nini dukani?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]we msambaa ni hatariWale paka wa Muhimbili nao walipata transfer kwenda Mloganzila au wale wa Mloganzila ni new recruitments?
LogicalKwa ajili ya kukabiliana na panya wanokula bidhaa za dukani
Kuna panya hatari wanatoboa hadi soda za kopo
Kuingiliwa wap zee baba huko back na mpiriti?Umejuaje ni out of topic wakati nataka kuweka taarifa zote hapa.
Acha kiherehere utakuja kuingiliwa ukiwa mkavu.
kwa mtazamo wangu nadhani hili ndilo jibu sahihi kabisa mengine labda imani za kishirikina.Kwa ajili ya kukabiliana na panya wanokula bidhaa za dukani
Kuna panya hatari wanatoboa hadi soda za kopo
Hata jikoni wapo sanaMaduka ya wahindi, waha, wakinga, wachagga, waarabu, wapemba etc Kuna paka.
Je wanafanya Nini dukani?