SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
I miss the old days when 'pussy' was another name for cat. Tangu walimwengu muingilie kati kila kitu kimekua tafrani. Hata kua na paka dukani imekua tatizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka anavutaje wateja..yan uende dukan kwasababu ya paka au kwasababu ya hitaji lako?Kuna wakuzuia panya..na majini ya kuvuta wateja na kulinda biashara...
Living la vida locaKuna mshikaji anauza paka weusi kwa wahindi huko Kariakoo.
Nimechekaje?Wale paka wa Muhimbili nao walipata transfer kwenda Mloganzila au wale wa Mloganzila ni new recruitments?
Umeuliza unahisi unanikomoaaaa.!!!...hahaaahaaaa endelea kuamini unavoaminiPaka anavutaje wateja..yan uende dukan kwasababu ya paka au kwasababu ya hitaji lako?
Wajivuni
Ulinzi kwa panya na wadudu wengine waharibifu.Maduka ya wahindi, waha, wakinga, wachagga, waarabu, wapemba etc Kuna paka.
Je wanafanya Nini dukani?
Umenikumbusha duka la rafiki yangu panya walikuwa wanatoboa maji ya litre 13. Panya hatari sanaKwa ajili ya kukabiliana na panya wanokula bidhaa za dukani
Kuna panya hatari wanatoboa hadi soda za kopo
I miss the old days when 'pussy' was another name for cat. Tangu walimwengu muingilie kati kila kitu kimekua tafrani. Hata kua na paka dukani imekua tatizo!