Kuna uhusiano gani Kati ya Club ya Yanga na Serikali ya CCM

Bora umewaeleza hawa vipofu.
Mtu mzima hawezi leta uharo kama wa wanaomuunga mkono mleta hoja.
Ila pamoja Yote kama uchaguzi mkuu uliopita, kama ulikua mjini Dar es alaam, utakumbuka bango la kampeni la mgombea wa CCM, lilibandikwa pale Club ya Yanga.

Ila Club ya Simba hukukubandikwa bango la mgombea wa chama chochote, kwanini.
 
Kumbuka Manji alkuwa mgombea udiwani wa kata Mbagala hivyo kwa Yanga kuwekwa bango siwezi kushangaa kutokana na mafiga matatu.
 
Pale hapakubandikwa bango la kumnadi Manji, ndiyo maana nimeandika kama ulikua Dar, inawezekana hukuona bango la mgombea wa CCM, lililobandikwa pale, Shuguli za maisha zilikufanya kuwa nje ya jijiji na jengo la Club ya Yanga.

Kwani manji alikua anagombea udiwani kata ya Jangwani, mpaka bango lake la kumnadi liwekwe kata ya Jangwani.
Kumbuka Manji alkuwa mgombea udiwani wa kata Mbagala hivyo kwa Yanga kuwekwa bango siwezi kushangaa kutokana na mafiga matatu.
 
Wanaleta siasa za majitaka kwenye soka,
 
Anyway all in all Simba na Yanga ni kurwa na Dotto hivyo kinachompata mmoja na halikadhalika mwingine.
Mpira hutuunganisha bila kujali uanachama kisiasa.
Nachopinga ni Huyo anayoaminisha Yanga ni CCM zaidi ya Simba kupaka matope
 
Yanga wameshiriki harakati za kupigania uhuru na ilianzishwa na waafrika , wakati simba ilianzishwa na wafanyabiashara wa kihindi na kiarabu kwa ajil ya kupambana na timu ya waafrika yaan yanga. simba walikuwa vibaraka wa wakoloni
 
Upotoshaji wa makusudi kabisa huu!
 
Hali ikiwa mbaya,
Timu ya Wananchi.
Hali ikiwa mzuri,
Dar Young Africans.

Sasa hivi mna hali mbaya kwa jinsi mnavyojita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…