Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Ila pamoja Yote kama uchaguzi mkuu uliopita, kama ulikua mjini Dar es alaam, utakumbuka bango la kampeni la mgombea wa CCM, lilibandikwa pale Club ya Yanga.Bora umewaeleza hawa vipofu.
Mtu mzima hawezi leta uharo kama wa wanaomuunga mkono mleta hoja.
Ila Club ya Simba hukukubandikwa bango la mgombea wa chama chochote, kwanini.