Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux, maana baadhi ya watu wenye tatizo la asidi pia ukutwa na fangasi hata mimi nina tatizo hilo nina fungus wasioisha mdomoni maana nilipimwa endoscopy dr aliniambiwa wapo pia kwenye koo
NB: nimeanza kupata hili tatizo baada ya kuanza kuumwa asidi kila kiungo kinauma hakuna furaha tena
NB: nimeanza kupata hili tatizo baada ya kuanza kuumwa asidi kila kiungo kinauma hakuna furaha tena